Kinachoonyesha kama ni kuthibitisha kuwa bado anammiliki mwanamziki mwenye miaka 21 Selena Gomes, Justine Beiber amepost video inayowaonyesha wakicheza kimahaba kwa ushirikiano sana na wimbo "Ordinary People" John Legend.
Labda wanajaribu kuonyesha kuwa star hao waliokuwa wapenzi wamefanya makosa lakini wameamua kusameheana na kushauri dunia pia isamehe kama aqmbavyo mashairi ya wimbo huo yakisema, ila baada ya mda Bieber ameonekana kuzi-delete clip hizo baada ya kuziweka muda mfupi.
Haswa inaonekana ni kama Bieber anajaribu kusambanza ujumbe kwa ma-haters wote wanaochukia kupatana kwao.Bieber na Selena wameonekana sana wakiwa pamoja hivi karibuni kitu kilichosababisha watu kuanza kuzusha kuwa wamerudiana.