$ 0 0 Staa wa soka Cristiano Ronaldo mwenye umri wa miaka 29 ametajwa kwenye list ya mastaa kumi wa soka wenye pesa nyingi ambapo yeye ndio kashika nafasi ya kwanza, akifata Messi na kisha Samuel Eto’o.