$ 0 0 Mbunge wa CCM Samwel John Sitta Kura 487 ndiye mshindi na anakuwa Mwenyekiti mpya wa Bunge la Katiba. Hashim Rungwe Kura 69, zilizoharibika 7.