Ally Remtullah ni mbunifu wa mavazi nchini Tanzania ambae miezi kadha iliopita alipatwa na skendo kutokana na keki yake ya birthday ambayo ilizua utata mkubwa mitandaoni.(angalia picha hio chini)
Picha ilioleta utata miezi kadha iliopita |
Mwanamitindo huyo ameendelea kuleta utata kwenye mitandao baada ya hapo jana, kijana mmoja ameweka picha akiwa amemkumbatia Mwanamitindo huyo, watu katika mtandao huo wa kijamii hawakupenda picha hio na wakadiriki kuanza kushusha mvua za matusi,
KUANGALIA PICHA HIYO INGIA HAPA
BONYEZA HAPA