KALENGA KWALIPUKA HII LEO,TAZAMA PICHAZ NAMNA CCM ILIVYOWASHA MOTO MASAA 48...
Katibu Mkuu CCM Taifa (Kulia) Kanali Mstaafu Kinana na Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara (Kushoto) Mh.Mwigulu Nchemba Wakimnadi Mgombea wa CCM Jimbo la Kalenga Ndugu Godfrey William Mgimwa(Katikati) hii leo...
View ArticlePICHA HII YA ALLY REMTULLAH YAZUA UTATA MITANDAONI, ASHUSHIWA MATUSI BAADA...
Ally Remtullah ni mbunifu wa mavazi nchini Tanzania ambae miezi kadha iliopita alipatwa na skendo kutokana na keki yake ya birthday ambayo ilizua utata mkubwa mitandaoni.(angalia picha hio chini)...
View ArticleMWENYEKITI WA KAMATI YA KUPITIA RASIMU YA KANUNI ZA BUNGE LA KATIBA AFUNGUKA...
Profesa Costa Mahalu alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kupitia Rasimu ya Kanuni za Kuendesha Bunge la Katiba.Dodoma. Huwezi kuzungumzia mafanikio ya Bunge Maalumu la Katiba bila kumtaja aliyekuwa...
View ArticleFAIDA ZA MAWAZIRI KUTOKUWA WABUNGE ZATAJWA BUNGENI JANA LIVE!!
Rasimu ya Katiba imependekeza mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike ipasavyo.Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, John Chiligati amesema mabadiliko ya Katiba yatakayofuta haki ya mbunge kuwa...
View ArticleBONGO KUWEKA ROBOTI ZA KUONGOZA MAGARI BARABARANI KUPUNGUZA FOLENI HABARI YA...
Magari yakipita pembeni mwa roboti anayeyaongoza katika moja ya barabara za jiji la Kinshasa, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Tanzania inatarajia kuweka roboti hao ili kupunguza mzigo wa kuongoza...
View ArticleWANA-YANGA KUANDAMANA SOMA HABARI HAPA LIVE!!
Dar es Salaam. Klabu ya Yanga imeomba kibali cha kufanya maandamano hadi ikulu kuushinikiza uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam kutoa majibu ya maombi yao heka 11 kwa ajili ya upanuzi wa Uwanja wa...
View ArticleKIGOGO WA CCM AFUNGUKA KUHUSU KUFUTWA KWA MUUNGANO SOMA ALICHOSEMA LIVE!!
Na Jovina Bujulu, Maelezo Dodoma. Muungano wa Tanzania kwa miaka 50 umekuwa ni undugu hivyo kuufuta ni sawa na kufuta utaifa wetu na kukaribisha ukabila.Hayo yamesemwa leo mjini Dodoma, na Kapteni...
View ArticleMY SUPER BRO. STEVE WASSIRA HANGING OUT WITH SOUTH AFRICA'S EX PRESIDENT LIVE...
Steve Wasira Jr.6 hours ago"Thats what I call grand hospitality Welcomed to SA by former President Thabo Mbeki. Got to chat about his great African renaisance speech...how he once had a Tanzanian...
View ArticleLE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- ON MY OPINION KUHUSU DUAL CITIZENSHIP NA MATUSI...
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- Well, majuzi baada ya kuombwa sana na wananchi wengi sana nje na ndani ya bongo nitoe maoni yangu kuhusu Dual Citizenship, kwa mara ya kwanza katika maisha yangu...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- JAMVI LA HABARI BLOG INASEMA HATIMAYE ILE NDEGE YA MALASYIA...
Ndege ya shirika la Malaysia Airlines iliyopotea kwa muda wa wiki sasa hatimaye imepatikana maeneo ya bahari ya malaysia na vietnam,ndege hiyo iliyokuwa inaelekea Beijing (China) ikitokea Malaysia,...
View ArticleKIGOGO WA UVCCM TAIFA AFUNGUKIA UCHAGUZI WA KALENGA ONA ALICHOSEMA FACEBOOK...
Sixtus Mapunda30 mins· "Tumefunga kampeni Kalenga salama. Wembe kupita ule.....".
View ArticleBREAKIN NEWZZ:- MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA ANASWA NA POLISI AKITOA RUSHWA LIVE...
Baada tu ya kukamatwa live akitoa rushwa!! Mbunge Rose Kamili wa Chadema! . Mbunge Rose kamili leo inasemekana amekamatwa na Polisi akitoa rushwa kata ya luhota jimbo la kalenga.
View ArticleNA HAYA NDIO MATOKEO RASMI YA MCHEZO WA LEO LIGI KUU YANGA NA MTIBWA YA...
Kikosi cha Timu ya Soka ya Mtibwa Sugar Iliyoanza Leo Dhidi Ya Yanga.Waliosimama Kutoka Kushoto : Salum Mbonde,Dickson Daud,Abdalah Juma, Ally Shomary, Shaban Nditi,Walioinama Kutoka Kushoto : Vicent...
View ArticleBILIONEA WA IPP MZEE MENGI ALIPOKUTANA NA WATU WAKE WA ZAMANI LIVE!!
Vicky Joan Msina"Re union- Former ITV & Radio one staff with Mwenyekiti at Mlimabi city ."
View ArticleMCHEZAJI MAARUFU MBWANA SAMATTA AKIWA MAZOEZINI NA TIMU YAKE YA TP. MAZEMBE...
Mbwana Aly SamattaLiked· 7 minutes ago·"Pata Maelekezo kutoka kwa Patrice CARTERON"
View ArticleHABARI KAMILI ZA MBUNGE WA CHADEMA MBEBEZ AKIGAWA RUSHWA LEO LIVE HUKO...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa,Bi.Jesca Msavatavangu akizungumza na wanahabari jioni ya leo mara baada ya tukio hilo la kukamatwa kwa Mbunge wa CHADEMA akigawa fedha kwa wanakijiji siku moja kabla ya...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- WABONGO 4 WANASWA NA SEMBE JOMO KENYATTA AIRPORT LIVE!!
Watanzania wanne (mwanaume mmoja na wanawake watatu) wamekamatwa na kilo 2.2 za heroin kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). Watanzania hao waliingia nchini Kenya kupitia Namanga...
View Article