Ndege ya shirika la Malaysia Airlines iliyopotea kwa muda wa wiki sasa hatimaye imepatikana maeneo ya bahari ya malaysia na vietnam,ndege hiyo iliyokuwa inaelekea Beijing (China) ikitokea Malaysia, abiria wote 239 wamefariki inasemekana abiria wengi walikuwa raia wa China.