NAOMBA SAMAHANI SANA WAPENZI NA MARAFIKI WANGU WOTE WA FACEBOOK NI KWAMBA IMENIBIDI KUIFUNGA ACCOUNT YANGU YA FACEBOOK NA KUANZA UPYA LEO, SAMAHANI SANA KWA USUMBUFU ILA IKUWA NI MUHIMU SANA KUANZA UPYA, AGAIN NINAWAKARIBISHA SANA ALL MY PEOPLE TUENDELEE TULIPOACHIA NAJUA KWAMBA MABADILIKO SIKU ZOTE YANAUDHI SANA ILA HUWA NI MUHIMU SANA KWA BINADAM KUTOKA ONE STAGE KWENDA KWENYE THE NEXT LEVEL!! - WILLIAM J. MALECELA