LE MUTUZ LIVE AT THE KUFURU LA BIRTHDAY BASH LA JIDE'S HUBBY GADNER HABASH...
Le Wabebez Wakareezzzz at the bash live!!Le Big Show hanging out with Miss Tanzania 2013 #2 & # 3 live at the bash!!Le Big Show with Super Baby Dorry Mkareezzzz U know!!Le Big Show with Kabebez...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- BUNGE LAAHIRISHWA TENA SOMA SABABU ZA KITIM TIM CHA LEO LIVE!!
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE::BUNGE MAALUM LA KATIBA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA VURUGU Mwenyekiti wa Bunge Mh Samwel Sitta Amelazimika Kuhairisha Bunge Jioni Hiii mara baada ya Kutokea...
View ArticleTAARIFA YA KUFUNGWA NA KUFUNGULIWA KWA ACCOUNT MPYA NA WILLIAM J. MALECELA...
NAOMBA SAMAHANI SANA WAPENZI NA MARAFIKI WANGU WOTE WA FACEBOOK NI KWAMBA IMENIBIDI KUIFUNGA ACCOUNT YANGU YA FACEBOOK NA KUANZA UPYA LEO, SAMAHANI SANA KWA USUMBUFU ILA IKUWA NI MUHIMU SANA KUANZA...
View Article"ALCO-BLOW" KIFAA KILICHOZUA KIZAA ZAAA NA MADEREVA SOMA SABABU HAPA NA WAPI...
Madereva walevi ni hatari kwa usalama wa barabaraniWalevi nchini Kenya wamekuwa wakilalamika kuhusu matumizi ya kifaa malum cha kupima kiwango cha pombe walichokunywa madereva wa usiku wanapokuwa...
View ArticleMGOMBEA UBUNGE WA CCM CHALINZE KUMBE AMEJIPANGA ONA HAPA LIVE!!
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kulia) akimsikiliza kwa makini Mlemavu wa miguu,Hamis Ibrahim Mkazi wa Kijiji cha Kwarihombo,ambaye...
View ArticleTHE BONGO & MAJANGAZ:- NYUMBA ZA POLISI ZILIPOTEKETEA NA MOTO MZITO TANGA LIVE!!
Jana mchana nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha chumbani jijini Tanga zaungua moto.Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili...
View ArticleWAZIRI KIVULI WA CHADEMA ATAKA AGNESS MASONGANGE AKAMATWE MARA MOJA SOMA...
WAZIRI Kivuli wa Mambo ya Ndani, Vincent Nyerere ameibuka na kutoa kauli ya kutaka Video Queen Agnes Gerald ‘Masogange’ akamatwe na kuswekwa ndani akidai kitendo cha kuachiwa huru Afrika Kusini kwa...
View ArticleTHE MAJANGAZ:- NA HAYA NDIO MADHARA YA KUPOKEA SIMU IKIWA KWENYE CHARGE NI...
HATARI: USIPOKEE, KUPIGA WALA KUTUMA SMS WAKATI SIMU IKIWA KATIKA CHAJI: Simu pia inapokua katika low betri si vema kabisa kupiga, kupokea au kutuma sms wakati huo kwa sababu miale (radiation)...
View ArticleAGHHHHHHH!! I LOVE THIS SALUTE MAN!! THIS IS WASAP AND THIS IS WHAT I AM...
Peter Ligate— at The Park at Irvine Spectrum Center.about an hour agoCalling all Diaspora members to Join the movement and Support this Just Cause..The time 4 talk is over now it's all abt Raising...
View ArticleNA HII NDIO HABARI YA MUJINI BONGO LEO JUMATATU NI KIVAZI CHA AJABU CHA SUPER...
HOT LULU MICHAEL..NI SHIDAAA...
View ArticleONA JUMBA LA AJABU LA MCHEZAJI MAARUFU WA SOKA MUAFRIKA MBELEZZZ LONDON/UK...
Samweli Etoo's Mansion
View ArticleNA HAYA NDIO MATOKEO KAMILI YA CHOPA KALENGA SOMA HAPA LIVE!!
KALENGA:- CCM kura 22908 80% CHADEMA 5800 20% = AIBU!!
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- MALORI YALIPOGONGANA MLIMA KITONGA LEO LIVE!!
Lori la mafuta lililopo upande wa kulia na lori la mizigo lililopo upande wa kushoto yaligongana na kuziba barabara kwenye mlima Kitonga na kusababisa magari mengine kukwama kwa zaidi ya saa nneBaadhi...
View ArticleBAADA YA KUTIKISA KALENGA,MWIGULU NCHEMBA ATUA UFARANSA NA UJERUMANI...
NAIBU WAZIRI WA FEDHA MH:MWIGULU LAMECK NCHEMBA ZIARANI NCHINI UFARANSA NA UJERUMANI KUHUDHURIA MKUTANO WA ACP NA DEVELOPMENT COOPERATION FORUMNaibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Lameck Nchemba ameanza...
View ArticleSUPER STAR WOLPER NAYE AKINUKISHA KULE MWAKA-INSTAGRAM ONA LICHOTUPIA HUKO...
Kupitia Akaunti yake ya instagram Jackline Wolper Masawe ameamua kuachia picha inayoonyesha kiuno chake hadharani kwa mashabiki wake ambacho kakivalisha cheni. tazama picha hapo chini.
View Article