Lori la mafuta lililopo upande wa kulia na lori la mizigo lililopo upande wa kushoto yaligongana na kuziba barabara kwenye mlima Kitonga na kusababisa magari mengine kukwama kwa zaidi ya saa nne
Baadhi ya abiria wa kutoka sehemu mabalimbali wakisubiri lori lililoziba barabara kuondolewa baada ya kupata ajali ya kugongana na lori jingine kwenye mlima Kitonga. Ajali hiyo imesababisha magari mengi kuweka kambi kwa muda wa zaidi ya saa nne.Lori likiwa limetumbukia kwenye korongo mlimani Kitonga↧