Rapper mkali ni muhimu awe na demu mkali… vinaendana. Young Killer amelizingatia hilo kwakuwa sasa ni miongoni mwa maemcee wanaoweza kujitokeza pale wanapoitwa wachanaji wenye mademu wakali.
Mkiss Mchumu Mwaaaa: Young Killer na Halimaty
Hitmaker huyo wa Dear Gambe amekuwa akionekana akihang out na msichana aitwaye Halimaty ambaye kudhihirisha kuwa amezama kwenye penzi la rapper uyo kutoka Mwanza Ameongeza Jina la Msodoki Mbele ya jina lake Halimaty
Tangu awe pamoja na Young Killer achoki kutupia picha za Mrembo huyo kwenye akaunti yake ya Instagram yenye zaidi ya followers zaidi ya 9,000
Tangu awe pamoja na Young Killer achoki kutupia picha za Mrembo huyo kwenye akaunti yake ya Instagram yenye zaidi ya followers zaidi ya 9,000
Young Killer akiwana na Halimaty Mlimani City
Bongo5