KOCHA WA YANGA GUNDU ALIYESHINDA MECHI MOJA TU TOKA AJE BONGO SOMA HABARI...
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga SC wameshushwa kileleni mwa ligi hiyo leo kufuatia kulazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Matokeo...
View ArticleSUPER STAR YOUNG KILLER NAYE AMUANIKA MBEBEZ WAKE WA UKWELI MUONE HAPA LIVE!!
Rapper mkali ni muhimu awe na demu mkali… vinaendana. Young Killer amelizingatia hilo kwakuwa sasa ni miongoni mwa maemcee wanaoweza kujitokeza pale wanapoitwa wachanaji wenye mademu wakali. Mkiss...
View ArticleKOCHA NA MCHEZAJI WAKE MAN-U WAINGIA MGOGORO MZITO HASA BAADA YA KUFUNGWA...
Kocha David Moyes na kocha mchezaji wa klabu ya Manchester United Ryan Giggs wameripotiwa kutoelewana. Imeripotiwa kwamba gwiji huyo wa United aligoma kuhudhuria mkutano wa benchi la ufundi na...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- BAADA YA PRECISION; FASTJET: SASA AIR-TANZANIA NAO WAJIUNGA...
Air Tanzania leo imezindua safari za kwenda Mbeya mara 4 kwa wiki, itatumia ndege yake mpya iliyokuja majuzi ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 50 kwa wakati mmoja.
View ArticleAngalia Tweet ya Januari Makamba baada ya warioba kuhutubia bunge
Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuhutubia Bunge hii leo…Januari Makamba ambeye ni mjumbe wa bunge hilo la katiba, kupitia ukurasa wake wa twitter kaandika...
View ArticleCHAMA KIPYA CHA ACT WAGAWA KADI ZA CHAMA BURE MOROGORO
Leo hi BUSTANI YA HABARI ilibahatika kukutana na tukio la ugawaji kadi katika kijiwe kikongwe cha siasa mkoani Morogoro kinachofahamika kwa jina la TAHARIRI SQUARE.Watu kadhaa wamejiunga na chama hicho...
View ArticleZANTEL YAPIGA JEKI MCHEZO WA NETIBOLI!!
Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Serikali kutoka Zantel Bw. Charles Jutta akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya...
View ArticleKUELEKEA PAMBANO LA KLABU BINGWA(UEFA),MOURINHO FULL MCHECHETO KWA DROGBA..
Ikiwa yamebaki masaa machache kuelekea mechi ya marudiano kati ya klabu ya Chelsea na Galatasaray,kocha mwenye mbwembwe na maneno mengi Jose Mourinho amesema anaamini mchezaji wake wa zamani katika...
View ArticleAFISA WA WIZARA YA ELIMU AWEKEWA JENEZA LIKIWA NA MZOGA WA PAKA NJE YA NYUMBA...
Familia ya afisa mmoja wa Elimu nchini Kenya imepigwa na butwaa baada ya kupata jeneza dogo likiwa limewekwa kwenye mlango wao mjini Kisumu Magharibi mwa Kenya. Kwa mujibu wa taarifa ya gazeti la Taifa...
View ArticleWIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YAWATAKA WANANCHI KUFUATA SHERIA NA TARATIBU
Afisa Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Viwanda na Biashara Nicodemus Mushi, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ukaguzi wa leseni za biashara kwenye ukumbi wa MAELEZO leo jijini Dar es...
View ArticleWAZEE WA YANGA WASITISHA MAANDAMANO YAO
Baraza la wazee wa Klabu ya Yanga, leo limetoa tamko la kusitisha maandamano yao ambayo walikuwa wameyapanga kufanyika ili kushinikiza serikali kutoa kibali cha Ujenzi wa uwanja wao wa kisasa...
View ArticleTHE MAJANGAZ:- SUPER STAR SINGER ATIMULIWA REHAB SASA NI KIFUNGONI JELA MWEZI...
Kila kukicha msanii Christopher Mourice a.k.a Chris Brown amezidi kukumbwa na mikiki ya hapa na pale baada ya kukaa sana rehab.Tangu ijumaa ya wiki iliyopita alitimuliwa na sasa mahakama imeamua Chris...
View ArticleTHE KUFURUZ LA MWANA MAKUKA 2014 LIVE AT ESACPE 1 BEACH CLUB LAST SATURDAY...
Mwana makuka nu umoja wa wanawake unaojishuurisha na kuwainuwa wanawake wengine katioka sekta ya maendeleo na ujasiliamali kigezo inabidi uwe na "idea" we ni mjasiliamali wa aina gani n a kwa kiasi...
View ArticleONA HAYA MAJANGAZ LIVE!!
NARUDIA TENA HII Majanga ya Facebook, Chukua tahadhari (hii ni ya kweli) Wito umetolewa angalieni marafiki mnaokutana nao katika mitandao, hasa facebook itawamaliza wanawake.Soma majanga haya,...
View ArticlePICHA ZA SHEIKH PONDA AKIWA MAHAKAMA KUU
Ponda akiwa ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo.Ponda akiteta jambo na askari Magereza....Akiwa na mwanasheria wake....Akitolewa nje ya mahakama.Afisa magereza na polisi wakijadili jambo...
View ArticleANGALIA MATESO ANAYOPATA HUYU MAMA, MSAADA WAKO UNAHITAJIKA
HUJAFA hujaumbika. Hicho ndicho unachoweza kusema ukimuona na baadaye kumsikiliza Disnia Rajabu,32, mkazi wa mtaa wa Geza Ulole mkoani Tanga ambaye anaumwa uvimbe wa mguu kwa muda wa miaka 10 sasa bila...
View ArticleREAL MADRID,CHELSEA ZAPETA UEFA..
Mcameroon Samuel Etoo na beki Garry Cahil wameiwezesha timu yao ya Chelsea kusonga hatua ya robo fainali kwa jumla ya magoli 3-1 katika mashindano ya Uefa,kufuatia magoli waliyofunga dhidi ya timu ya...
View Article