$ 0 0 Air Tanzania leo imezindua safari za kwenda Mbeya mara 4 kwa wiki, itatumia ndege yake mpya iliyokuja majuzi ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 50 kwa wakati mmoja.