Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

HUU NDIO UKWELI KUHUSU TAARIFA ZILIZOZAGAA JUU YA OMMY DIMPOZI KUKAMATWA NA POLIS WA MAREKANI NA KUCHEZEA KICHAPO CHENYE AKILI

$
0
0


Stori: Shani Ramadhani
MKALI wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ameibuka na kufungukia ishu iliyozagaa mitandaoni kuwa alikamatwa Marekani.

Picha iliyozua utata.
Akipiga stori mbili tatu na paparazi wetu, Dimpoz alisema picha zinazomwonesha akiwa chini ya ulinzi si tukio la kweli bali ni sehemu ya video ya wimbo wake mpya ambayo alikwenda kurekodia nchini humo.
...Dimpoz akiwa chini ya ulinzi katika video yake mpya.
“Sikuwa nimekamatwa kiukweli, ile ilikuwa ni sehemu tu ya video ya wimbo wangu ambao nilikuwa narekodi, mashabiki wangu wasinielewe vibaya. Nipo poa tu,” alisema Dimpoz.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>