TAARIFA KUHUSU KUPOTEA KWA NDEGE YA MALAYSIA
Ikiwa haijulikani ilipo kwa zaidi ya siku sita, habari nyingine kuhusu ndege hii iliyokua na abiria 239 zinaonyesha machahe mapya kwamba muda mfupi baada ya kupaa kuna mtu alizima kifaa cha mawasiliano...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MADHARA YA TATOO KWENYE MWILI
Kahawa.Utafiti umethibitisha kuwepo uhusiano kati ya ukosefu wa usingizi na matatizo ya kiafya kama vile ugonjwa wa moyo, ugonjwa wa kisukari na sarataniKINACHOSABABISHA UKOSEFU WA USINGIZIIngawa...
View ArticleBoeing disparu : l'enquête se concentre sur la personnalité des pilotes
Les enquêteurs s'intéressent également aux passagers et aux techniciens qui ont participé à l'entretien de l'appareil.
View ArticleSODA NI HATARI KWA AFYA ... INASABABISHA SARATANI
INAKADIRIWA kiasi cha watu milioni 1.6 watapatwa na ugonjwa wa saratani mwaka nchini Marekani na inakadiriwa kuwa kati ya hao, watu laki 5 watapoteza maisha kutokana na ugonjwa huo hatari. Pia kiasi...
View ArticleMwigulu Nchemba aenda Ufaransa na Ujerumani
NAIBU WAZIRI WA FEDHA MH:MWIGULU LAMECK NCHEMBA ZIARANI NCHINI UFARANSA NA UJERUMANI KUHUDHURIA MKUTANO WA ACP NA DEVELOPMENT COOPERATION FORUMNaibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Lameck Nchemba ameanza...
View ArticleTanzania na Malawi zasaini Mkataba wa kuanzisha Kituo cha Pamoja cha Uhamiaji...
Maafisa wa Tanzania na Malawi wakifanya maandalizi kabla ya Mawaziri kuwasili kwa ajili ya shughuli ya uwekaji saini Mkataba Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum (Mb), kushoto na Waziri wa Biashara na...
View ArticleWASTARA ACHUMBIWA THEN ABWAGWA
Stori: Imelda MtemaSTAA wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ametoboa kuwa, kuna wanaume kibao walimchumbia kwa nyakati tofauti, lakini wakabadilisha uamuzi huo na hivyo kumfanya aendelee kubaki...
View ArticleCCM WAKANUSHA WARAKA WA SIRI WA UCHAGUZI WA KALENGA
Katibu mkuu wa CCM Mkoa wa Iringa,Ndugu Hassani Mtenga akizungumza na wanahabari wa Iringa katika ofisi za chama hicho mapema leo. Katibu mkuu wa CCM Mkoa wa Iringa,Ndugu Hassani Mtenga akizungumza...
View ArticleHUU NDIO UKWELI KUHUSU TAARIFA ZILIZOZAGAA JUU YA OMMY DIMPOZI KUKAMATWA NA...
Stori: Shani RamadhaniMKALI wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ameibuka na kufungukia ishu iliyozagaa mitandaoni kuwa alikamatwa Marekani.Picha iliyozua utata.Akipiga stori mbili tatu na...
View ArticleSIKU YA 11 BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA...
Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur. Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’...
View ArticleODEMWINGIE BADO AWEKEWA NGUMU TIMU YA TAIFA NIGERIA.
Kocha wa timu ya taifa ya Nigeria Stephen Kesh amedai bado mchezaji wa zamani wa timu Peter Odemwingie hana uhakika wa kuwemo...
View ArticleCCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana akimuinua Mkono Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtwisha ndoo ya maji Bi. Amina Rajab, mkazi wa Wilayani Mpwapwa, baada ya kuzindua rasmi Kisima cha Bomba la maji,...
View ArticlePISTORIUS AHESABIWA SIKU HADI JUMATATU
Kesi inayomkabili mwanariadha mlwemavu wa nchini Afrika kusini Oscar Pistorius imesogezwa mbele hadi siku ya jumatatu kufuatia...
View ArticleCCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana,Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete pamoja na wanaCCM wengine wakitembea kuelekea kwenye...
View ArticleWATU WAWILI WAPOTEZA MAISHA NA SABA WAMEJERUHIWA KATIKA AJALI YA BASI NA...
Watu wawili wamefariki dunia leo baada ya bodaboda yenye usajili namba T 293 ARM kugongwa na basi la abiria la kampuni ya Maning Nice lenye usajili namba T624 CQD ambalo nalo lilipinduka baada ya ajali...
View ArticleLE MUTUZ LEO LIVE IN CHALINZE WITH CHAIRMAN JUMA PINTO & OMAR KIMBAU KWENYE...
This morning leaving my house for Chalinze to support my jirani he lives on third door from my home but he is also mgombea wa ubunge kwa CCM Chalinze, Mungu anasema mpende jirani yako kwanza!!A ride in...
View ArticleANGALIA PICHA MWANAMKE ALIYECHEZEWA MCHEZO NA KUOLEWA ILI APATE UKIMWI,...
Na Chande Abdallah UKISIKIA simulizi ya Hafsa Ramadhani (19) itakutia simanzi, itakutesa moyo na kukutoa machozi, huwezi kuamini aliingia kwenye ndoa bila kujua kuwa alikuwa akienda kukutana na ugonjwa...
View Article