NDUGU WANANCHI BADO TUNAPOKEA CV ZA WANATAFUTA KAZI YA UDEREVA KATIKA KAMPUNI YETU MPYA YA CHIKASA ICD-MBAGALA PROJECT TUNAHITAJI MADEREVA 20 TAYARI KUANZA KAZI MWISHO WA MWEZI HUU;-1. TUMA CV YAKO AT willymalec@gmail.com AU TUMA MESSAGE + 255 717 618 997 NA UNAWEZA KUJA MWENYEWE AT HIFADHI HOUSE KARIBU NA SANAMU MJINI HAPA DAR, PANDA LIFT MPAKA GOROFA YA 9 ULIZIA WILLIAM MALECELA, OFISI YA MWISHO KUSHOTO MLANGO WA KWANZA, PLEASE USIPIGE SIMU ZINASUMBUA SANA, TUMA MESSAGE KAMA UMEPOTEA, TAREHE 28/3/2014 UTAKUWA NDIO MWISHO WA KUPOKEA CV.