NA HUU NI UJUMBE MZITO KWA WANANCHI TOKA KWA MBUNGE MTATA WA CCM DR. HAMIS...
Hamisi KigwangallaWamiliki wa mgodi wa Resolute wanaondoka, hawachimbi tena dhahabu Nzega. Kuligunduliwa dhahabu eneo la nje ya mgodi, ghafla Resolute wakadai ni lao, lakini ni mashamba ya wakulima!...
View ArticleBREAKIN NEWZZ:- TAARIFA MAALUM YA MKUU WA WILAYA KOROGWE KUHUSU MKUTANO WA...
Mrisho Gambo54 minutes ago near Soni"Mkutano wa hadhara wa Mhe Rais ni kesho mombo saa sita mchana badala ya saa saba tuliyotangaza awali. Karibu wote."
View ArticleANGALIA SIMBA ILIVYOPOKEA KICHAPO CHA GOLI 1 KWA 0 DHIDI YA COASTAL UNION
Kikosi cha Simba SC kilichoanza mtanange wa leo.Kikosi cha Coastal Union.Mshambuliaji wa Simba Sc, Ramadhani Singano 'Messi' akikwaana na beki wa Coastal Union wakati wa mechi ya leo.Mashabiki wa Simba...
View ArticleKAMPENI YA MGOMBEA WA CCM CHALINZE SASA NI MOTO WA KUOTEA MBALI SANA ONA...
Hii ndio picha ya habari kamili ya leo ya kampeni za Chadema kwenye jimbo la Chalinze tena live!!Ridhiwani Kikwete: Safari ya kuomba ridhaa ya kuwawakilisha Wanachalinze— at Chalinze - Pwani -...
View ArticleTIZAMA MWENYEWE PICHA HALISI ZA KAMPENI ZA CCM NA CHADEMA LEO CHALINZE NA...
Hapa kampeni za Chadema Chalinze leo live on mgombea wao akijinadi na almost yeye mwenyewe tu!!KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!! CCM HOYEEEHHHHHH!!
View ArticleTHE MOODY MASS THEORIES OF LIFE OF MAN AND WOMEN IN BONGO LIVE!!
THE MAN HIMSELF MR. MODDY MASS LIVE!!THE MOODY MASS THEORY 1;-SIKU HIZI WANAUME WANAPOTONGOZA KINA DADA ZETU WANAKUWA HAWANA HAMU KUBWA NAO KAMA ZAMANI KWA SABABU SIKU HIZI UNAPOTEMBEA MTAANI HAKUNA...
View ArticleTANGAZO MAALUM LA AJIRA AT THE ICD-MBAGALA PROJECT!!
NDUGU WANANCHI BADO TUNAPOKEA CV ZA WANATAFUTA KAZI YA UDEREVA KATIKA KAMPUNI YETU MPYA YA CHIKASA ICD-MBAGALA PROJECT TUNAHITAJI MADEREVA 20 TAYARI KUANZA KAZI MWISHO WA MWEZI HUU;-1. TUMA CV YAKO AT...
View ArticleCHEZEYA AGNESS MASONGANGE WEYE ONA HAPA LIVE!! AT MWAKA-INSTAGRAM KUDADEKII...
Video vixen Agnes Gerald Masogange akiwa kwenye photoshoot kwenye eneo fulani, au kama wanavyoita, “location.” Mrembo huyo amepost picha hizi kwenye Instagram...
View ArticleDARASA MAALUM KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU WARIOBA TOKA KWA MWANASHERIA MAARUFU...
Dhana na Maana ya Bunge Maalum la KatibanaProf. Issa ShivjiBunge Maalum la Katiba (constituent assembly) ni chombo mahsusi cha wananchi kutunga katiba yao. Katika falsafa ya kisasa ya kikatiba,...
View ArticleMWENDESHA BODABODA AMGONGA MTU NA KUMVUNJA MGUU,ATIMUA MBIO NA KUTELEKEZA...
Ajali mbaya ya pikipiki ambapo mwendesha Bodaboda amemgonga mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Heri Idd mkazi wa kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora, Idd aligongwa na Bodaboda hiyo wakati akiwa...
View ArticleLIGI KUU ENGLAND: SPURS WAICHAPA SOUTHAMPTON
Msumari wa mwisho: Gylfi Sigurdsson alifunga bao la ushindi kwa Tottenham dhidi ya Southampton Mshindi: Akitokea benchi, Sigurdsson alishangilia kwa furaha baada ya kuifungia bao la ushindi Spurs...
View ArticleMASHOGA WAZIDI KUONGEZEKA TANZANIA
Nimepita pita huko mitaani hasa Kinondoni, kwenye mahotel ,ma bar na kumbi za starehe, Nimeshangaa sana kuona wakaka poa kibao, tena wamejiremba kama wadada vile, nao wakijiuza kama machangudoa, nini...
View Article