$ 0 0 Mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Makongo,Priscus Mallya amefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori na bajaji katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi maeneo ya bamaga.Source-gpl.