POMBE SI CHAI,ANGALIA JAMAA LAVYOFAKAMIA POMBE
Wakazi wa Dar es Salaam pamoja na wahudumu wa bar ya Bulls park wakimuangalia kijana ambaye jina halikufahamika akiwa amelala chini baada ya kuzidiwa na pombe.Kijana mmoja ambaye jina lake...
View ArticleANGALIA PICHA YA MKE WA MTU ANYOFOLEWA SIKIO KISA MAPENZI
Consolata Edward akionyesha jeraha katika sikio lake.Consolata Edward ni mke wa mtu, mkazi wa Igoma jijini hapa ambaye amebaki na kipisi cha sikio baada ya kunyofolewa kiungo hicho kisa kikidaiwa kuwa...
View ArticleMWANAMUZIKI MAARUFU KENYA AFUNGUKA NA KUMCHANA SUPER STAR DIAMOND PLATZNUM...
Imeshawahi kuandikwa baada ya stori kusambaa kwamba mwimbaji mtanzania Diamond Platnumz ana uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae ni dada wa rapper Bamboo, rapper huyu alisema...
View ArticleBEKI WA YANGA KIDOGO AIJUZULU NA KUWACHANA NA SOKA ONA HAPA NI NANI NA SABABU...
BEKI na nahodha wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amefichua siri kwamba alikuwa katika wakati mgumu katikati ya msimu huu ambapo ilikuwa kidogo aachane na soka.Akizungumza na Mwanaspoti Cannavaro...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AMNADI RIDHIWANI KIKWETE KATIKA MVUA KUBWA
Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi Ndugu Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Ubena Zomozi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo huku mvua...
View ArticleTHE MAJANGAZ & BONGO:- SUPER STAR MAINDA AWASHUKIA GPL NA MUANDISHI WAKE WA...
Muigizaji Mainda ameonyesha kukerwa kwake na magezeti ya udaku yanyo mchafua kwa kuandika habari za uongo juu yake. Muigizaji huyo ametoa dukuduku lake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kupost...
View ArticleLE MUTUZ LIVE AT THE OFFICE LEO HANGING OUT NA MABEBEZ WA UKUWHEEEEEEEEZZZ...
FROM LEFT:- SUPER DORIS MISS ILALA 2013 + LE BIG SHOW + SUPER ALICE MISS ILALA 2013 #2 LIVE AT THE OFFICE! I MEAN LE BONGO TAMBALALEZZZ!!
View ArticleMAREKANI USA KUTUMA NDEGE ZA KUMUWINDA KIONGOZI WA WAASI WA UGANDA SOMA...
Marekani imetangaza kutuma ndege za kijeshi na vikosi maalumu vya kijeshi kumtafuta kiongozi wa uasi wa Uganda, Joseph Kony. Ndege zipatazo nne aina ya CV-22 Ospreys zenye kusambaza mafuta, pamoja na...
View ArticleTHE MAJANGAZ & BONGO:- MUANDISHI WA HABARI WA UINGEREZA AIBUA MAKUBWA BONGO...
Sintofahamu ya suala zima la meno ya tembo bado ni kitendawili nchini Tanzania , baada ya ripoti ya mwandishi wa Uingereza kuhusu meno ya tembo. Suala ni kwamba je meno yaliopo kwenye ghala la Tanzania...
View ArticleTAARIFA MAALUM HOW TO BE SUCCESSFULL IN BUSINESS & BUILD WEALTH! SOMA HAPA...
Sanctus Mtsimbe40 minutes ago"AMKA NA BADILIKA" from your TV Screen of TBC1 to Live Talks . . . . . Happening this Friday 28th March 2014 at Utalii College . . . . . An opportunity not to be missed!"
View ArticleTHE MAJANGAZ & MBEYA:- BABA AMNYONGA MWANAE SOMA SABABU LIVE!!
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI MTOTO MWENYE UMRI WA MWAKA MMOJA NA MIEZI SABA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA HENRY JUMA MKAZI WA MIGOMBANI ALIKUTWA...
View ArticleBAJAJI NA LORI ZA SABABISHA AJALI ILIYOPELEKEA KUONDOA UHAI WA MWANAFUNZI DAR..
Mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Makongo,Priscus Mallya amefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori na bajaji katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi maeneo ya bamaga.Source-gpl.
View ArticleLEO KULE MWAKA-INSTAGRAM KUMENUKA TENA U KNOW ONA HAWA LE MABEBEZ WAKAREEZZ...
Kokuhilwa RosemaryView on Instagram"With @flavianamatata at Last night's @faceafrica #washgala . Dress by designer @prajje #faceafrica"
View ArticleTUKIO LA KUTISHA SAME MKOANI KILIMANJARO: ACHARANGWA VIWEMBE USONI KISA MUME...
DADA huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za usoni na kitu chenye ncha kali kikihisiwa kuwa ni kiwembe,Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita,Chanzo cha habari...
View ArticleMwanamke aliyefunga ndoa na mbwa london anatukumbusha nini?
Freddy MachaMajuma mawili yaliyopita, habari za mwanamke wa London aliyeoana na mbwa wake aitwaye Sheba zilitangazwa na gazeti la Metro.Metro hutolewa bure, kila siku, kwa wasafiri miji mbalimbali ya...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- HAWA NDIO WENYEVITI WA KAMATI MPYA ZA BUNGE LA KATIBA...
Wenyeviti wa kamati za bunge waliochaguliwa leo hawa hapa:1. Hamad Rashid2: Christopher ole sendeka3: Shamsi vuai nahodha4: Anna Abdallah5: Job Ndugai6: Anna Kilango malecela=========Kamati Namba Moja:...
View ArticleREFA ALIYETOA KADI NYEKUNDU KIMAKOSA KWENYE MECHI YA ARSENAL NA CHELSEA AOMBA...
Refa Andre Marriner huenda akawekwa kando kwenye michezo ya mwishoni mwa juma baada ya kufanya makosa ya kutoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Arsenal na Chelsea ambapo...
View Article