Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

TUKIO LA KUTISHA SAME MKOANI KILIMANJARO: ACHARANGWA VIWEMBE USONI KISA MUME WA MTU! LIVE!!!

$
0
0

DADA huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za usoni na kitu chenye ncha kali kikihisiwa kuwa ni kiwembe,

Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita,

Chanzo cha habari kiliieleza masainyotambofu.com kuwa ugomvi ulisababishwa na wivu wa mapenzi.

Chanzo hakikutaja jina la
Dada huyu wala mtuhumiwa mpaka sasa Dada huyu yupo Hospitali ya wilaya Same.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>