Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BREAKIN NEWZZZ:- UKIONA MESSAGE KAMA HII POPOTE PALE UJUE NI WALE WAHUNI WANAO-HACK ACCONTS ZA WATU FACEBOOK NA KUZITUMIA KUTANGAZA HUU UTAPELI PLEASE USIFUNGUE MAANA UKIFUNGUA TU UNAWAPA NAFASI YA KUINGIA KWENYE ACCOUNT YAKO!!

$
0
0

BREAKING NEWS: NMB BANK IMEJITOLEA ZAWADI ZA BAJAJI KWA KILA MTEJA ALIE JIUNGA NA HUDUMA YA INTERNET BANKING.

Taarifa kutoka NMB BANK kila mwanachama aliejiunga na huduma ya Internet Banking kutoka NMB BANK hii ni fursa pekee kwake. NMB BANK imejitolea mikopo ya magari kwa wanachama wake pamoja na zawadi bure ya bajaji kwa kila mwanachama wa NMB BANK ambae anatumia huduma ya Internet Baking. Vigezo na masharti kuzingatiwa bajaji ni bure kwa kila mwanachama wa NMB BANK mwenye kutumia huduma ya Internet Banking, mikopo ya Magari inatolewa kwa kila mwanachama ambae mara kwa mara amekua akiweka pesa na kutoa pesa na anakiwango cha pesa kisichopungua Million Moja katika Account yake ya NMB BANK. Kwa maelezo zaidi na kwa wale ambao wamejiunga na NMB INTERNET BANKING mnaweza kufaidika na kujua mengi zaidi kupitia hapa:


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>