Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NANI KASEMA POMBE CHAI...?EEMH TAZAMA PICHA YA HUYU DENTI MBURULAZ BAADA YA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA USHAHIDI LIVE KWAMBA RAIS UHURU KENYATTA NI MTU WA WANANCHI HIZI...

View Article


BREAKIN NEWZZZ:- UKIONA MESSAGE KAMA HII POPOTE PALE UJUE NI WALE WAHUNI...

BREAKING NEWS: NMB BANK IMEJITOLEA ZAWADI ZA BAJAJI KWA KILA MTEJA ALIE JIUNGA NA HUDUMA YA INTERNET BANKING.Taarifa kutoka NMB BANK kila mwanachama aliejiunga na huduma ya Internet Banking kutoka NMB...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA RONALDO KUYATOA YA MOYONI JUU YA PAMBANO LAO,NA HIVI NDIVYO...

Xavi has slammedCristiano Ronaldofor his criticism ofthe referee inBarcelona's 4-3 winover Real Madrid in Sunday's Clasico .Real Madrid were 3-2 up at theBernabeu when they saw SergioRamos dismissed...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Now France says it has satellite images of objects that could be from missing...

Emotions: A relative of Chinese passengers aboard the missing Malaysia Airlines, MH370, expresses her frustration at the lack of information, to journalists in BeijingFrance today provided Malaysia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MENGI YAENDELEA KUIBUKA KESI YA PISTORUS...

Aliyekuwa mpenzi wa OscarPistorus, marehemu ReevaSteenkamp, alimtumia ujumbe wasimu kumwambia kuwa wakatimwingine alikuwa anamuogopasana.Haya yamejitokeza katika kesiinayoendelea dhidi ya Oscar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FA YAWATOA KITANZINI GIBBS NA CHAMBERLAI.

Arsenal wameshinda rufaa mbele ya meza ya chama cha mpira wa miguu uingereza FA,kufuatia mamuzi ya kimakosa yaliyotolewa na mwamuzi Marriner. Ambaye alitoa Penalti wakati wamchezo wa siku ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA WAZUNGU WAKIWA KWENYE KUMBI ZA STAREHE HAPA NYUMBANI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO..!!MSANII NYOTA NDOGO NA WANAWAKE WENGINE WAPINGANA NA PICHA ZA UTUPU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGOGO MAGEREZA ATESWA, AUAWA

KIGOGO wa cheo cha juu katika Jeshi la Magereza Tanzania, SP Barnabas Nkuba (56) ameuawa kikatili kisha mwili wake kuburuzwa na kutupwa kwenye choo cha nje cha nyumba yake, Uwazi limeichimba.Jeneza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACHOMWA KISU, AFIA POLISI:KISA DENI LA SHILINGI ELFU TANO,MTUHUMIWA AKAMATWA...

INATISHA sana! Renard Mabula, mkazi wa Kiluvya jijini Dar es Salaam amekufa ndani ya Kituo cha Polisi cha Gogoni, Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kukimbilia hapo kufuatia kuchomwa kisu tumboni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA ORODHA YA WASANII WALIOFANIKIWA KUINGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA TUZO...

Wimbo bora wa mwaka; 1 Number one-Diamond, 2 Joto hasira-Lady Jaydee Ft Prof Jay, 3 I love u-Cassim Mganga, 4 Yahaya-Lady JayDee, 5 Kidela -Abdu Kiba Feat Ali Kiba na 6 Muziki gani-Ney ft Diamond.Wimbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAN UNITED BADO HALI MBAYA EPL YAPIGWA BAO 3-0 NA MAN CITY,DZEKO AWAPIGA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA TUKIO LA KUTISHA SAME MKOANI KILIMANJARO, ACHARANGWA VIWEMBE...

DADA huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za usoni na kitu chenye ncha kali kikihisiwa kuwa ni kiwembe, Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita, Chanzo cha habari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YANAENDELEA KUONEKANA,TAZAMA PICHA ZA...

 Mafundi wa Kampuni ya ujenzi wa daraja la Kigamboni wakisuka nondo katika moja ya nguzo zitakazoshika daraja hiloMeneja wa Mradi wa ujenzi wa daraja la Kigambonio Bw. Lin Tao kutoka kampuni ya China...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INASIKITISHA MWANAFUNZI AFU KATIKA BWAWA LA KUOGELEA

HALI ya taharuki inaendelea kutanda katika chuo kikuu cha Nairobi baada ya nwili wa mwanafunzi kupatikana ndani ya dimbwi la kuogelea la chuo hicho.Mwili wa Mwanafunzi huyo aliyetambuliwa kama Denis...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA AUAWA KWA MAWE NA KISHA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUIBA PIKIPIKI WILAYANI...

Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25-30 ameuawa kwa kupigwa mawe kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kukamatwa na pikipiki ya wizi Katika kijiji cha kagongwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shuguli ya kuitafuta Ndege ya malaysia MH370 yasitishwa

Jamaa za abiria wa ndege hiyo wamekumbwa na majonzi makubwa.Mamlaka ya usalama wa safari za baharini nchini Australia imesema kuwa operesheni ya kuitafuta ndege ya shirika la Malaysia iliyotoweka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA MSIBA MZITO MAMBELEEZZZ HOLLAND/UHOLANZI!!

R.I.P Lily

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA JINSI MAMILIONI YA WATU WANAVOFARIKI KUTOKANA NA HEWA CHAFU.

Watu milioni saba walifariki mwaka2012 kutokana na hewa chafu. Hii nikwa mujibu wa shirika la afyaduniani .Ripoti ya shirika hilo inasema kuwakuna uhusiano mkubwa kati ya hewachafu na maradhi ya moyo,...

View Article
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>