Wimbo bora wa mwaka;
1 Number one-Diamond,
2 Joto hasira-Lady Jaydee Ft Prof Jay,
3 I love u-Cassim Mganga,
4 Yahaya-Lady JayDee,
5 Kidela -Abdu Kiba Feat Ali Kiba na
6 Muziki gani-Ney ft Diamond.
Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Kitanzania;
1 Kwejaga nyangisha-Batarokota,
2 Nalonji-Kumpeneka,
3 Bora Mchawi-Dar Bongo massive,
4 Tumbo lamsokota-Ashimba,
5 Aliponji –Wanakijiji na
6 Agwemwana-Cocodo African music band.
Wimbo bora wa kiswahili –Bendi;
1 Ushamba mzigo-Mashujaa Band,
2 Shamba la Bibi -Victoria Sound,
3 Chuki ya nini -FM Academia,
4 Yarabi nafsi -Mapacha Watatu na
5 Kiapo mara 3 -Talent Band.
Wimbo bora wa Reggae;
1 Niwe na wewe-Dabo,
2 Hakuna Matata-Lonka,
3 Tell Me-Dj Aron ft Fidempha,
4 Bado nahitaji-Chikaka ft Bless p & Lazzy B na
5 Bongo Reggae-Warriors from the east.
Wimbo bora wa Afrika Mashashariki;
1 Tubonge-Jose Chamelleone,
2 Nakupenda Pia-Waire Ft Allain,
3 Badilisha-Jose Chamelleone,
4 Kipepeo-Jaguar na
5 Kiboko Changu-Aman FT Weizal and Radio.
Wimbo bora wa Afro pop;
1 Number one-Diamond,
2 Joto hasira-Jay Dee,
3 Kidela-abdul kiba ft Ali Kiba,
4 I love you-Kassim,
\5 Tupogo-Ommy Dimpoz Ft J Martins na
6 Roho yangu-Rich Mavoko. Wimbo bora wa Taarab;
1 Wasi wasi wako-Mzee Yusuf,
2 Asiyekujua Hakuthamini-Isha Ramadhani & Saida Ramadhani,
3 Nipe stara -Rahma Machupa,
4 Sitaki shari-Leyla Rashid,
5 Fahari ya Mwanamke-Khadija Kopa,
6 Mambo bado-Khadija Yusuf na
7 Kila muomba Mungu -Mwanahawa Ali.
Wimbo bora wa Hip hop; 1 Bei ya mkaa-Weusi,
2 Nje ya box-Nick wa pili ft Joh
Makini na Gnako,
3 Siri ya mchezo-Fid q ft Nature,
4 2030-Roma na
5 Pesa-Mr Blue Ft Becka Title.
Wimbo bora wa R&B;
1 Listen-Belle 9,
2 Closer -Vanessa Mdee,
3 So crazy-Maua ft Fa,
4 kama huwezi-rama dee ft jay dee na
5 Wa ubani-Ben Pol ft. Alice
Wimbo bora wa kushirikisha/kushirikiana;
1 Music Gani-Ney Mitego ft Diamond,
2 Joto Hasira-Lady JayDee ft. Prof Jay,
3 Kidela -Abdul Kiba ft. Ali Kiba,
4 Bila Kukunja Goti-Mwana FA na AY ft. Jay Martins na
5 Tupogo-Ommy Dimpoz ft. Jay Martins.
Wimbo bora wa Ragga/Dancehall;
1 Nishai-Chibwa Ft Juru,
2 Sex girl-Dr Jahson,
3 My sweet-Jettyman Dizano,
4 Feel Alright-Lucky Stone,
5 Wine-Princess Delyla.
Wimbo bora wa Zouk /Rhumba;
1 Yahaya-Lady Jaydee,
2 Yamoto-Mkubwa na wanawe,
3 Msaliti-Christian Bella,
4 Nakuhitaji-Malaika Band na
5 Narudi kazini-Beka.
Mwimbaji bora wa kike -kizazi kipya;
1 Vanessa Mdee,
2 Lady Jaydee,
3 Linah na
4 Maua,
Mwimbaji bora wa kiume -kizazi kipya
1 Ben Pol,
2 Rich Mavoko,
3 Diamond,
4 Ommy Dimpoz na
5 Cassim Mganga.
Mwimbaji bora wa kike –Taarab;
1 Khadija Kopa,
2 Isha Ramadhani,
3 Khadija Yusuf,
4 Mwanahawa Ali na
5 Leyla Rashid,
Mwimbaji bora wa kiume –Taarab
1 Mzee Yusuf,
Hashimu Saidi na
3 Mohamedi Ali aka Mtoto Pori.
Mwimbaji bora wa kiume –Bendi;
1 Jose Mara,
2 Kalala Junior,
3 Charz Baba,
4 Khalid Chokoraa na
5 Christian Bella,
Mwimbaji bora wa kike -Bendi
1 Luiza Mbutu,
2 Catherine (Cindy) na
3 Ciana.
Msanii bora wa -Hip hop;
1 FID Q,
2 Stamina,
3 Young killer (Msodoki),
4 Nick wa pili, 5 Gnako.
Msanii bora chipukizi anayeibukia;
1Young Killer(Msodoki),
2 Walter Chilambo,
3 Y Tony,
4 Snura na
5 Meninah,
Rapa bora wa mwaka –Bendi
1 Kitokololo,
2Chokoraa,
3 Furguson,
4 Canal Top na
5 Totoo ze Bingwa.
Mtumbuizaji bora wa kike wa Muziki.
1 Khadija Kopa,
2Vanessa Mdee,
3 Isha Ramadhani,
4 Luiza Mbutu na
5Catherine (Cindy),
Mtumbuizaji bora wa kiume wa Muziki
1 Diamond,
2 Christian Bella,
3 Rich Mavoko,
4 Ommy Dimpoz na
5Abdu Kiba.
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka –Taarab;
1 Enrico,
2 Ababuu Mwana ZNZ na
3 Bakunde, wakati
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka -Kizazi kipya wanachuana
1 Marco chali-Mj Records,
2 Man Water-Combination Sound,
Mazoo-Mazoo Records,
4 Sheddy Clever-Burnz Records na
5 Nahreel -Home Town Record.
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka –Bendi;
1 Allan Mapigo,
2C9,
3 Enrico,
4 Amoroso na
5 Ababuu Mwana ZNZ,
Mtunzi bora wa mwaka –Taarabu,
1 Mzee Yusuf,
El-Ahad Omary,
3 El-khatib Rajab,
4Kapten Temba,
5 Sadiki Abdul
6 Nassoro Seif,
6 Nassoro Seif,
Mtunzi bora wa mwaka -kizazi kipya,
1Belle 9,
2 Ben Pol,
3Diamond,
4 Rama dee
5 Rich mavoko.
Mtunzi bora wa mwaka –Bendi
1 Christia Bella,
2 Jose Mara,
3 Chaz Baba,
4 Nyoshi Saadat na
5 Kalala Junior,
Mtunzi bora wa mwaka -Hip hop,
1Nikki wa Pili,
2Young Killer(Msodoki),
3 Roma,
4 FID Q na
5 G- Nako.
Video bora ya muziki ya mwaka;
\1 Number One-Diamond,
2Yahaya-lady Jaydee,
3 Joto hasira-Lady Jaydee Ft Prof Jay,
4 Uswazi takeaway-Chege Ft Malaika,
5 Mama Yeyo-Gnako Ft Ben Pol.
Bendi bora ya mwaka;
1 FM Academia,
2 Mapacha Watatu,
3 African Stars ‘Twanga Pepeta’,
4 Akudo Impact,
5 Malaika Band,
6 Mashujaa Band,
Kikundi cha mwaka cha Taarab ni
1 Jahaz Modern Taarab,
2 Mashauzi Classic na
3Five Stars na
Kikundi cha mwaka cha kizazi kipya;
1 Makomandoo
2 Navy kenzo,
3Weusi
4Mkubwa na wanawe