Msanii wa Muziki kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidumu” akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere jana usiku kwa ajili ya kutumbuiza katika Shererhe ya “CLUB E”- LICENCE TO PARTY inayotarajiwa kufanyika usiku wa leo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Msanii kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidumu” (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wake nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere sambamba na waimbaji wake kwa ajili ya kutumbuiza katika Shererhe ya “CLUB E” – LICENCE TO PARTY inayotarajiwa kufanyika usiku wa leo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.