Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BALOZI MBELWA KAIRUKI ALIPOKUTANA NA MKURUGENZI MWENZIWE HUKO KOREA KUSINI!!

$
0
0

Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Afrika na Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini, Bw. Moon Duk-ho walipokutana kwa mazungumzo Jijini Soul, Kore Kusini hivi karibuni. Balozi Mbelwa yupo nchini Korea Kusini kwa ziara ya kikazi.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>