Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

KATIBU MKUU WA MPLA ALIPOWASILI MJINI DAR ES SALAAM KUHUDHURIA MKUTANO WA VYAMA VYA KISOSHALISTI LIVE!!

$
0
0
Katibu Mkuu wa Chama kinachoongoza Angola MPLA comrade Julio Mateus Paulo amewasili Dar es Salaam Leo kuhudhuria Mkutano wa vyama vya Kisoshalisti ulimwenguni unaoanza kesho katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.











Katibu Mkuu wa Chama cha MPLA cha Angola Ccomrade Julio Mateus Paulo akipokelewa na Ndg. Phares Magesa Mjumbe wa NEC kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM  uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili




Ndg.Magesa (MNEC) akiwa katika mazungumzo mafupi na Comrade Paulo katika ukumbi wa VIP uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere


Comrade Paulo akingozwa na MNEC Magesa alipowasili leo


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>