LULU ATOA YA MOYONI,NAPATA WAKATI MGUMU SIKU YA KANUMBA DAY,
STAA wa sinema za Kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema anapata wakati mgumu sana kufikiria kitu gani spesho atakachokifanya siku ya kumkumbuka aliyekuwa mwandani wake, marehemu Steven Kanumba...
View ArticleMASANJA MKANDAMIZAJI..KATISHAAA..CHEKI HILI GARI LAKE JIPYA LA KIFAHARI
Masanja ameamua kuonyesha gari mpyaaa aliyonunua na baada ya kuiachia aliandika maneno haya "MyGod is Good!!
View ArticleTazama jinsi fundi alivyookolewa dakika za mwisho kwenye jengo lililowaka moto
Ni moto ambao umetokea kwenye gorofa ya tano ya jengo moja huko Houston Texas Marekani ambapo kikosi cha zimamoto kilifanya pia jitihada za kumuokoa fundi ujenzi mmoja aliekua kwenye gorofa hilo dakika...
View ArticleMAJANGA!!:MCHUNGAJI AZIKWA KIISLAM,NI WA KANISA LA KILOKOLE,ALIAGIZA AZIKWE...
Maajabu! Mchungaji wa Kanisa la Pentecostal Spirit and Truth, Amani Rubeni Mirumbe ameushangaza ulimwengu kwa kujitabiria kifo na baadaye kufariki dunia kweli huku akiwaachia waumini na familia yake...
View ArticleDIEGO COSTA YUKO NJIANI KUTUA STAMFORD BRIDGE.
Kocha mkuu wa klabu ya chelsea Jose Mourinho bado anaendelea na nia thabiti ya kuipata saini ya mshambuliaji wa kimatifa wa Hispania na klabu ya Atletico Madrid,Diego Costa ili kuweka sawa safu yake ya...
View ArticleJAMAA AUA MCHUMBA WAKE NA KUMZIKA PORINI,FISI WAFUKUA KABURI,MBWA WALA KICHWA...
Watu wawili wamekufa katika matukio tofauti wilayani Bunda, mkoani Mara, akiwemo mwanamke mmoja aliyeuawa na mchumba wake na kufukia mwili wake porini na kisha fisi kufukua kaburi hilo na kichwa chake...
View ArticleWafanyabiashara watekwa na maafisa usalama feki
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.Na Nathaniel Limu, SingidaWAFANYABIASHARA wa Manyoni mjini mume na...
View ArticleKATIBU MKUU WA MPLA ALIPOWASILI MJINI DAR ES SALAAM KUHUDHURIA MKUTANO WA...
Katibu Mkuu wa Chama kinachoongoza Angola MPLA comrade Julio Mateus Paulo amewasili Dar es Salaam Leo kuhudhuria Mkutano wa vyama vya Kisoshalisti ulimwenguni unaoanza kesho katika ukumbi wa Mikutano...
View ArticleMAELFU WAJITOKEZA KUUGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN...
MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA KWENYE NDANI YA MAKAZI YAKE WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA KUTOKA KUSHOTO KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA...
View ArticleMBUNGE MAARUFU WA CHADEMA ALIYEWAHI KUWAITA CUF MASHOGA LEO AZUKA NA JIPYA...
Mbunge wa Chadema John Wenje, aliyewahi kuwaita Wabunge wa CUF kuwa ni mashoga, leo ameuza kizaa zaa cha ajabu bunge la Katiba baada ya kuwaita Wajumbe 201 wasiokuwa wabunge kwenye bunge la Katiba...
View ArticleSHULE" YA TUNDU LISSU YAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA MICHANGO
Kaimu mkuu wa shule ya sekondari Unyahati jimbo la Singida, Mboya David akiwa ofisini kwake akitekeleza majukumu yake.Meza ya mkuu wa shule ya sekondari ya Unyahati jimbo la Singida mashariki...
View ArticleRIDHIWANI AWAFIKIA WANAKIIJIJI WA CHAHUA NA MATULI, CHALINZE
Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia chama cha Mapinduzi Ndugu Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi wakati alipowasili katika kijiji cha Matuli kata ya Chalinze kwa ajili ya mkutano wa...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAZIDI KUWAKUNA MASHABIKI WAKE NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE
Waimbaji wa Skylight Band kutoka kushoto Hashim Donode, Digna Mbepera, Winfrida Richard na Aneth Kushaba AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai...
View ArticleDIWANI WA KATA YA IYOGWE GAIRO,CLEMENCE MSULWA AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI YA...
Diwani wa Kata ya Iyogwe Wilaya ya Gairo Clemence Msulwa akifungua kikao cha majadiliano ya rasimu ya sheria ndogo na hati rasmi ya uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF) katika Halmashauri ya...
View ArticleMAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) kuhusu masuala ya Muungano katika ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za...
View ArticleUKWELI KUHUSU UGOMVI WA WOLPER NA HUSNA KUGOMBEA BWANA WA KIKONGO HUU HAPA
Mambo hadharani! Kigogo ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anayewagombanisha mastaa wawili Bongo, Jacqueline Wolper Massawe na Husna Maulid ni huyu hapa. Anaitwa Rajab Mwami...
View ArticlePSI WAWAPONGEZA KAHAMA KWA MATUMIZI YA CONDOM NA DAWA YA MAJI SALAMA.
BAADHI YA BIDHAA ZITOLEWAZO NA PSI TANZANIANa Shija FelicianKijukuu Blog Kahama.WAFANYABISHARA wilayani Kahama wametakiwa kuzitumia bidhaa zitolewazo na Shirika lisilo la Kiserikali la Population...
View ArticlePicha ya siku ya kwanza Diamond Platnumz anakutana na Wema Sepetu ipo hapa
Inaaminika katika mapenzi au uhusiano wa kimapenzi uliowahi kuandikwa sana kwenye mitandao na magazeti Tanzania, huu wa mwigizaji Wema Sepetu na Diamond Platnumz umevunja rekodi, mastaa ambao walifikia...
View Article