Miji ya Sodoma na Gomora, Jordan iliangamizwa na kizazi cha Lutu kugeuzwa miamba ya chumvi lakini
hali halisi ya Tanzania hususan Dar es Salaam, inakaribia kuzidi kila uchafu uliomchukiza Mungu na kusababisha maangamizi.Kasi ya watu kuhusudu mapenzi ya kinyume na maumbile, namna ngono inavyorahisishwa mitaani, uvaaji wa mastaa wa kike Bongo na hulka ya baadhi kuuza miili yao kama njia ya mkato ya kupata mafanikio ni pointi zinazotosha kuifananisha Bongo na Sodoma.The Biggest IQ, Ijumaa Wikienda katika uchunguzi wake uliohusisha msako wa vituo vya kutoa huduma ya masaji pamoja na maeneo yote yanayofanya biashara huria ya ngono, uchafu wa warembo mastaa na namna wanavyojiuza, kwa jumla lina ripoti ifuatayo;
MASAJI, NGONO, USHOGA
Ripoti inaweka wazi kuwa vituo vingi vya kutoa huduma za masaji jijini Dar es Salaam vimegeuzwa madanguro na kufanya uchafu ufuatao;
MOSI: Zaidi ya vituo 20 vya kutoa masaji ambavyo gazeti hili limevifanyia uchunguzi, 13 vinajihusisha na biashara haramu ya ngono. Hiyo ni sawa na asilimia 65.
PILI: Mteja anapohudumiwa masaji, anaruhusiwa kuomba huduma ya ziada (penzi) halafu hutozwa kwa bei ya maelewano kati yake na mtoa huduma.
TATU: Kondomu siyo muhimu, mteja ni mfalme, kwa hiyo anayetoa fedha ndiyo huomba aina ya mtindo anaopenda.

NNE: Wanawake wafanyabiashara, wafanyakazi wanaopokea fedha nyingi pamoja na wake wa vigogo ni wahudhuriaji wazuri kwenye vituo vya masaji.
TANO: Baadhi ya wanawake hao huenda kwenye vituo vya masaji kwa lengo la kufanya usagaji na watoa huduma wa kike.
SITA: Wanawake wengine huenda kwenye masaji na kuomba kuhudumiwa na wanaume watoa huduma, katikati ya huduma hukamilisha kwa mchezo wa ngono.

SABA: Vituo vitatu ambavyo Ijumaa Wikienda lilivitembelea Kinondoni, Dar es Salaam, lilibaini kuwapo kwa watoa huduma ambao ni waumini wa ngono za jinsia moja (mashoga).
NANE: Katika vituo hivyo, mteja wa kiume akifika anachagua, ama ahudumiwe na shoga au mwanamke. Akiwa kwenye chumba cha huduma anaruhusiwa kuelewana na mtoa huduma kisha kufanya usodoma.

TISA: Baadhi ya vituo wafanyakazi hawalipwi mishahara, isipokuwa wao wenyewe hujilipa kwa namna watakavyowashawishi wateja ‘kuwauzia’ huduma ya ngono.
10: Saluni za kike zinazotoa huduma ya masaji, baadhi ni kona ya vitendo vya usagaji.
VITUO VYA KUNYOA NYWELE ZA SIRI
Uchunguzi zaidi umebaini kuwa vitendo vya ngono vinashamiri ndani ya Bongo kutokana na baadhi ya wajasiriamali kubuni njia za kujiingizia kipato haramu.
Wapo walioanzisha vituo vya kutoa huduma ya kunyoa nywele za siri kwa mtindo huu;
MOSI: Mteja anaruhusiwa kuchagua ama anyolewe na mwanaume au mwanamke.
PILI: Endapo mteja atazidiwa katikati ya huduma, anaruhusiwa kuomba ‘mchezo’ na atapewa kwa fedha ambazo ni maelewano.
TATU: Mara nyingi mteja akiwa anahudumiwa, mtoa huduma humfanyia ‘mambo ya uchokozi’ ili kumhamasisha na akilainika huombwa fedha ili akamilishiwe mchezo.
NNE: Hata kama ni mwanamke, ndani ya vituo hivyo kuna watoa huduma za usagaji, kwa hiyo anayehudumia humchezea mteja mpaka aombe kukamilishiwa safari. Akitoa fedha inayokubalika, hufikishwa anapopataka haraka.
TANO: Kituo kimoja cha siri kilichopo Kinondoni na viwili vilivyopo Sinza, kuna watoa huduma mashoga ambao huwekwa maalum kwa wateja wenye mzuka na aina hiyo ya watu.
PICHA
Picha za ukurasa wa kwanza ni moja ya matukio ambayo Ijumaa Wikienda limewahi kuzinasa kwenye vituo vya masaji nchini na kufichua biashara ya ngono inayofanyika ndani yake.