THE MAGAZETI YA BONGO LEO SATUDAY/JUMAMOSI LIVE!! 29/3/2014
...........................
View ArticleBONGO SASA!! MICHEPUO KILA KUKICHA CHEKI HII!!
Miji ya Sodoma na Gomora, Jordan iliangamizwa na kizazi cha Lutu kugeuzwa miamba ya chumvi lakinihali halisi ya Tanzania hususan Dar es Salaam, inakaribia kuzidi kila uchafu uliomchukiza Mungu na...
View ArticleKIGOGO IKULU AMHONGA KAJALA GARI
NI madai mazito! Kwamba, nyota wa muvi za Kibongo, Kajala Masanja amehongwa gari na mtu anayedaiwa kuwa ni kigogo wa Ikulu. Hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa na Risasi Jumamosi limeifukunyua.Brevis...
View ArticleMAKUBWA NA MAZITO HAYA....MAMA SHARO MILIONEA AMVAA KITALE KWA TUHUMA NZITO...
Mama yake na marehemu Hussein Mkieti aka ‘Sharo Milionea’ .Makubwa! Mama mzazi wa aliyekuwa nyota wa filamu na muziki, marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’ amemtuhumu msanii wa vichekesho ambaye...
View ArticlePINDA KUKUTANA NA SURPRISE LEO DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ndiye atakuwa mgeni rasmi katika utoaji tuzo.WAZIRI Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda leo atakutana na ‘surprise’ ya aina yake, wakati atakapokabidhi tuzo kwa mwanamke bora wa...
View ArticleMFANYABISHARA APORA MKE WA MTU
Kigogo wa kampuni ya kuchimba madini ya Afgem iliyopo Mererani mkoani Manyara, Abdallah Mwakaleja ‘Dullah’ anayedaiwa kupora mke wa mtu.KIGOGO wa kampuni ya kuchimba madini ya Afgem iliyopo Mererani...
View ArticlePUTIN AIONYA MAREKANI KUHUSU MCHEZO MCHAFU UKRAINE
Rais Vladimir Putin wa Russia ameionya Marekani juu ya kuwatisha kwa aina yoyote ile, raia wa Ukraine. Pitin ameyasema hayo katika mazungumzo ya simu aliyofanywa na Rais Barack Obama wa Marekani na...
View ArticleMASKINI MTOTO HUYU AZALIWA NA SURA MBILI, PICHA ZIPO HAPA
MADAKTARI wa Hospitali ya Holy Family (HFH) mjini hapa wanapigania maisha ya mtoto aliyezaliwa Septemba 25, mwaka huu akiwa na sura mbili na uzito wa kilo 3.2.Kwa mujibu wa taarifa za hospitalini...
View ArticleENHEE KUMBE KUNA MADHARA,UNAAMBIWA WHATSAPP YALETA MAJANGA,CHUKUA MUDA WAKO...
Daktari mmoja wa Hispania amedai kukutana na mgonjwa wa kwanza wa ‘WhatsAppitis’, tatizo lililotokana na kuchat kwa WhatsApp kwa muda mrefu.Mgonjwa huyo ambaye hakutajwa jina amedai kupata maumivu...
View ArticleHAWA NDIO WAREMBO WANAOJIUZA KWA WANAUME MATAJIRI
TAHADHARI:EEPUKA MICHEPUKO,BAKI NJIA KUU!!
View ArticleMASHALI AMGALAGAZA KASEBA KWA POINTI
Bondia Thomas Mashali (kushoto) akikwepa konde la Japhet Kaseba, wakati wa pambano lao kuwania Ubingwa wa WBO uliofanyika kwenye ukumbi wa UBO Africa Mashali. Sabasaba jijini Dar es Salaam. Katika...
View ArticleMBWANA SAMATTA AIPELEKA TP MAZEMBE NANE BORA,SASA KILA KONA DRC JINA LAKE NDO...
KLABU ya TP Mazembe imefuzu kutinga Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Sewe Sport ya Ivory Coast 1-0 jioni hii Uwanja wa Kamalondo mjini Lubumbashi.Klabu hiyo...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM PWANI:RIDHIWANI KIKWETE NI (TANGANYIKA JEKI) ITAWAKWAMUA...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwishehe Mhalinze wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Kibindu na kuhudhuriwa na wakazi wa kijiji hicho, akimuombea kura Ridhiwani Kikwete mgombea...
View ArticleLADY GAGA AMESHINDIKANA! TAZAMA KITU ALICHOVAA KWENYE BETHIDEI YAKE
Mwanamuziki wa pop asiyehishiwa vituko kila kukicha, Lady gaga ametoa mpya baada ya kuvaa nguo iliyomuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake kiasi kwamba unaweza ukaona kila kitu alichovaa kwa ndani...
View ArticleMISRI YAFUNGUA TENA KIVUKO CHA RAFAH KWA MUDA .
Misri imeufungua tena leo kwa muda wa siku tatu tu na kwa ajili ya masuala maalumu mpaka wake wa pamoja wa ardhini na Ukanda wa Gaza wa ardhi za Palestina baada ya kuufunga kwa muda wa siku 50. Hayo...
View ArticleRIDHIWANI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE KATIKA JIMBO LA CHALINZE
Mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akiomba kura kwa wananchi wa kijiji cha Kilemera kata ya Mandera. Mzee Robert Jerome mwenye umri wa miaka 92 ambaye ni Mwenyekiti...
View ArticleDK. MARIA KAMM NDIYE MSHINDI WA TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Dk. Maria Kamm ametwaa tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 iliyotolewa na Global Publishers akiwashinda Dk. Migiro, Prof. Tibaijuka na Anne Kilango!
View ArticleBINTI KUTOKA KENYA ALIYE WAAMBUKIZA UKIMWI WANAUME KIBAO NCHINI KENYA SASA...
Mwanadada Vanessa Cheruto Chettle amabaye alithibitisha kuwa anaishi na HIV na ameshatembea na wanaume wengi bila kutumia kinga wakiwemo watu wenyemajina makubwa nchiniKenya...kamaShaffie Weru na Nick...
View Article