Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

RIDHIWANI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE KATIKA JIMBO LA CHALINZE

$
0
0

 Mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akiomba kura kwa wananchi wa kijiji cha Kilemera kata ya Mandera.
 Mzee Robert Jerome mwenye umri wa miaka 92 ambaye ni Mwenyekiti Mstaafu wa Kijiji cha Kilemera akiongea na mgombea wa nafasi ya Ubunge kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete
 Wananchi wa Kijiji cha Hondogo wakiitika kwa wingi wakati wa mkutano wa kampeni za Ubunge kupitia CCM uliofanyika kijijini hapo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>