Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE MAJANGAZ & BONGO!!:- HUYU SUPER STAR WA BONGO MUVI MBEBE APATWA NA AJALI MBAYA LIVE SIKU YA KUZALIWA KWAKE LEO!! NI NOMAZZZ!!

$
0
0
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa miongoni mwa wasanii wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu hapa nchini Jacklyn Wolper.

Kupitia kwenye instagram Desemba 6 amepost picha ambayo ikionesha amenusurika kuumia baada ya kuondoa gari  lake kwa kasi na kupelekea kugonga tanki la maji na kusababishaa ajali.




Huu ndio ujumbe wake 'dah kuzaliwa cku moja na kufa ni cku moja nando maana kila cku nasisitiza upendo na chuki zisizokua na sababu.hvii leo ni bthday yangu lakn nilikua nauvaa ukuta wakat nasogeza gar ioshwe tayar kwa maandaliz .wakat nakanyaga brk kumbe nakanyaga mafuta maskn ya mungu nimebomoa matnk ya maji yote nimepasua mabomba yote nimegonga gar nyingne but yote nikumshukuru mungu kwakua sijaumia ila prsh ilishuka kidogo but now npo ok.asante mwenyezi mungu,mungu wa wote,kimbilio la wote na wewe ndo kimbilio langu.niombeeni maskn'Aliandika Wolper

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>