Watangazaji wawili wa kipindi cha televishen "The View" wamewapa watazamaji wao mshangao pale walipovua nguo zao na kubaki uchi wakati show hiyo ikiendelea
Sherri Shepard na Jenny McCarthy wliamua kubadilisha mambo na kutangaza kipindi chao wakiwa uchi wa mnyama.
Watazamaji hawakuonekana kujali kutokana na tukio hilo na kuwapigia makofi na kelele nying