Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU WANNE WAUAWA, 9 WALAZWA KWA MAPIGANO IGUNGA...

Mmoja wa majeruhi wa mapigano hayo akiwa amelazwa hospitalini.Watu wanne wamekufa na  wengine tisa  wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya hiyo mkoani Tabora, kutokana na mapigano kati ya wakulima na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA WA LULU ATUPIWA TUHUMA NZITO, ANG’AKA

Mama mzazi wa Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila.Stori: Gladness Mallya na Hamida HassanMAMA wa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametupiwa tuhuma nzito kuwa ni mnywaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJANGAZZZ SIRI NZITO YA MAUAJI YA KINYAMA YA MWANAFUNZI WA CHUO ARUSHA...

SIRI nzito ya mauaji ya kinyama ya mwanafunzi wa Chuo cha Savanna Bridge cha jijini Arusha, Winfrida Akunay (18) aliyechomwa kisu mara sita eneo la shingo na kifua mbele ya baba yake mzazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER STARRR WEMA SEPETU ALIVYOJJITOA FAHAMU OFISI ZA GPL.

HOVYOOO! Wema Isaac Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJANGAZZZ MAMBELEE WATANGAZAJI MBURULA WATANGAZA WAKIWA WATUPU WA MNYAMA...

Watangazaji wawili wa kipindi cha televishen "The View" wamewapa watazamaji wao mshangao pale walipovua nguo zao na kubaki uchi wakati show hiyo ikiendeleaSherri Shepard na Jenny McCarthy wliamua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER STAA FLORA ATAKA KUMBEMENDA MWANAE MAKUSUDI ANGALIA HAPA ANACHOTAKA...

MSANII FLORA MVUNGIMsanii wa Bongo Movie Flara Mvungi ameibuka na kusema kuwa licha ya mwanae bado mdogo hata mwaka hajamaliza sasa hivi anahitaji kushika mimba nyingine ili apate mtoto wake wa pili na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI VITAAA WAKULIMA NA WAFUGAJI TABORA WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA...

Mapigano ya kugombea ardhi kati ya wakulima na wafugaji katika eneo la mpaka kati ya wilaya za Kishapu mkoani Sninyanga na Igunga, mkoani Tabora yameua watu watano. Mapigano hayo yaliyotokea Jumapili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LE MAJANGAAAAAA...!!BONGO MUVI KUMALIZWA NA UKIMWI...BATA NA KUIBIANA MABWANA...

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua msanii mkongwe kiwanda cha Bongo movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema kuwa hakika gonjwa hatari la ukimwi litawateketeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FOR SALE NGUO KUTOKA UK ZINAUZWA KWE BEI POWA YA KUFUNGIA DUKA SO WAHI NOW...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LE BAHARIA WHEN I WAS A SEAMEN U KNOW HII INAITWA SEAMEN BOOK ZAMANI KUWA NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER STAR NEY WA MITEGO SASA NI NDOA TU KWA MBELE NA HUYU LE MBEBEZ WA...

Nay akiwa na mpenzi wake Siwema.Stori: MAYASA MARIWATAMWANAMUZIKI Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema yupo kwenye mikakati ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS UHURU KENYATTA ALIPOKUTANA NA RAIS KAGAME KIGALI/RWANDA LEO LIVE!!

Today President Kagame met with President Kenyatta in Kigali.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKIN NEWZZ:- SASA HATA MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA AKUBALI KUWA SAINI ZA...

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amekiri “kuchezewa” kwa saini ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na sehemu ya saini ya aliyekuwa Katibu wa Bunge la Tanganyika, Pius Msekwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAZ BABA AKANUSHA KUTUMIA BANGI NA MADAWA MENGINE YA KULEVYA ....ADAI BADO...

 Msanii wa zamani wa kundi la Daz Nundaz, Daz Baba amesema kuwa hatumii madawa ya kulevya kama watu wengi wanavyodhani. Muimbaji huyo ambaye wiki hii ameachia wimbo mpya uitwao ‘Jela’ amekiambia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITU NANE VYA KIPUMBAVU AMBAVYO WADADA HUFANYA KWENYE MAPENZI

 1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga 2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani sana nitakao gusa imani zao3. Kuvaa pete ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZIKIONESHA TUKIO LA WATU WATATU WALIO KUFA KWA KUFANIKWA NA...

Shughuli ya uokoaji ikiendelea.Watu Watatu wamekutwa na tukio la kufukiwa na kifusi maeneo ya machimbo ya kifusi huko Bunju , watu hao walikuwa wakichimba kwa bahati mabaya udongo ukamong'onyoka na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COLLABO NYINGINE YA DIAMOND NA MWANAMUZIKI WA NIGERIA HII HAPA

Safari ya Diamond nchini Nigeria inaendelea kuzaa matunda kama alivyokusudia. Baada ya kushirikishwa na Waje, jana mkali huyo wa bongo flava aliingia booth na msanii mwingine mkubwa wa Nigeria, Dr...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONGO TAMBARAREE NISHA BWANA MPYA, GARI MPYA

Mwaka huu umekuwa wa mafanikio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kutokana na kuvuta ndinga mpya na huku akidaiwa kutoka na mwanaume mpya.Kikizungumza na Ijumaa, chanzo ambacho ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA WANANCHI WAMPIGA HADI KUMUUA MTUHUMIWA WA WIZI WA NGUO IRINGA

WANANCHI  wenye  hasira  kali wakazi  wa  mtaa wa Mtwivila D katika Manispaa ya  Iringa wamemuua mtuhumiwa mwingine wa ujambazi  aliyetambulika kwa  jina la Ayubu Mhema (31) msukuma mkokoteni mkazi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA WAMKATIA RUFAA MCHEZAJI WA MGAMBO MOHAMED NETO

YANGA SC imekata rufaa dhidi ya mchezaji Mohammed Neto wa Mgambo Shooting ikidai anacheza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kinyume cha kanuni za usajili. Yanga SC wanalalamikia usajili wa mchezaji...

View Article
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>