Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MAFIKIZORO WAFUNIKA MLIMANI CITY JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO LIVE!!

$
0
0

Wakali wa kundi la mafikizoro usiku huu wanaendelea na kukamua ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi ya watu imefurika ukumbini kuwashuhudia wakali hawa wa mafikizoro.
...Wakali wa kundi la mafikizoro usiku huu wanaendelea na kukamua.

...Nyomi ya watu imefurika ukumbini usiku huu.
Mashabiki wa Mafikizoro wakicheza moja ya wimbo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Usiku huu.

(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>