LIVE SASA HI NI OFFICIAL KWAMBA RIDHIWANI KIKWETE NDIO MBUNGE MPYA WA CHALINZE KWA USHINDI WA KISHINDO SANA YANI WANANCHI WAMEMKUBALI SANA TO THE EXTEND YAKUSHINDA USHINDI USIOKUA NA USHINDANI, SO SALUTE TO CHALINZE PEOPLE AND SALUTE TO MBUNGE MPYA WA CHALINZE, CHANGES ARE TO COME IN CHALINZE
CCM - 20812
CHADEMA - 2628
CUF- 473
NRA- 59
AGO- 78
SO AM OFF AYA NIMESHATANGAZAA SASA NA NYIE MKATANGAZEEEE...