$ 0 0 Baadhi ya mabinti wanaotumikishwa katika biashara hiyo ya ngono.WATANZANIA wanne wametiwa nguvuni jijini Macau nchini China kwa kuwatumikisha mabinti katika biashara haramu ya ngono.