Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

PICHA ZAIDI MBUNGE MTEULE WA CCM CHALINZE ALIPOWASHUKURU WANANCHI WA CHALINZE KWA KUMCHAGUA KWA KISHINDO JANA LEO LIVE!!

$
0
0

 Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa  kumchagua kuwa mbunge wao  uliofanyika katika Uwanja vya Miembe saba, Tume ya taifa ya Uchaguzi imemtangaza Mh.Ridiwani Kikwete  kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika juzi Aprili 6
 Mke wa mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Bi. Arafa Ridhiwani akiwasalimia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kayta ya Bwilingu uwanja wa Miembe Saba Chalinze jana
Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani akiwashukuru wananchi wa Chalinze baada ya kumchagua kuwa mbunge wao katika uchaguzi uliofanyika juzi jimboni humoPICHA NA FULLSHANGWEBLOG

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>