Waziri wa Maliasili na Utalii Bw.Lazaro Nyalandu akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Majengo ya Chuo cha Musoma Utalii Tabora wakati wa mahafali ya kumi ya Chuo hicho. |
Waziri Nyalandu akiweka jiwe la msingi katika Chuo cha Musoma Utalii mkoani Tabora,Kulia ni Mkurugenzi wa Chuo hicho Bw.Shabani Mrutu. |
Waziri Nyalandu akipatiwa maelezo ya malengo ya uanzishwaji wa Chuo cha Musoma Utalii Tabora kutoka kwa Mkurugenzi wa Chuo hicho Bw.Shabani Mrutu ofisi kwake. |
Waziri wa maliasili na Utalii Bw.Lazaro Nyalandu akiwasalimia baadhi ya wahitimu wa kozi mbalimbali wakati wa mahafali ya kumi ya chuo cha Musoma Utalii Tabora. |
Mkurugenzi wa Chuo cha Musoma Utalii Bw.Shaban Mrutu akisoma taarifa fupi ya Chuo kwa mgeni rasmi wakati wa mahafali ya kumi ya chuo hicho. |
Mmoja wa wahitimu wa Chuo cha Musoma Utalii akimpa mkono mgeni rasmi Waziri Nyalandu wakati wa mahafali hayo ya kumi. |
Waziri wa maliasili ya Utalii Bw.Lazaro Nyalandu akiwa na mwenyeji wake Mkurugenzi wa Chuo cha Musoma Utalii Tabora Bw.Shaban Mrutu. |