Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

WAREMBO WA BONGOO SIWEZI KULLIWA ULODA NA MWANAUME ANAETEMBEA NA LULU- DIANA ALIYEWEKWA KINYUMBA NA MSANII FUSKA MANAIKI SANGA

$
0
0
LULU NA DAIANA

Msanii wa bongo movie Diana Kimaria ameibuka na kukanusha vikali kuwa awezi kuliwa uloda na mwanaume aliyempitia rafiki yake Lulu Michael kwa sababu kwani wao ni zaidi ya rafiki.
Akizungumza baada ya kutokea taarifa kuwa amekuwa akiiba wanaume za rafiki zake akiweo huyo Lulu, Diana alisema" Katu siwezi kufanya hivyo hivyo mwanaume yeyote anaemla uloda LULU mimi ni shemji yangu hivyo siwezi fanya upuuzi huo" Alisema Diana ambae amewahi kuishi kinyumba na msanii fuska Manaiki Sanga zaidi ya nusu mwaka huku Mama yake na Diana akitoa baraka za wawili hao kuoana kabisa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>