Siku hizi kama hujagundua ni kwamba, biashara hii inaenda ki digitali zaidi, siku hizi unamkuta mwanamke bar amekaa mwenyewe anakunywa utadhani kweli hana tatizo kumbe yuko kazini anasubiri wateja. Sasa ukichanganya tu kujiunga nae ndio umeumia kwanza kabisa yeye ndio anakupiga round za bia . yani hapo ujue unatengenezwa usimchukulie poa ili hata ukitanga kuhonga , isiwe hongo la kitoto. Na hapo unakuta ni binti mdogo tu wa miaka hata 22 yuko na mtu mzima kabisa utadhani labda ni mtu na mtoto wake wameenda kupata chakula cha jioni. kumbe majanga..!!
Chunga sana, dunia imeharibika..!! bofya hapa kwa habari zaidi >> THE CLICKTZ
Chunga sana, dunia imeharibika..!! bofya hapa kwa habari zaidi >> THE CLICKTZ