Makamu wa Rais Dk Gharibu Bilal, Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar Es Salaam, Sulemani Kova na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wamenusurika kufa mara baada ya helikopta ya jeshi waliyokuwa wakitumia kwaajili ya kuzunguka kujionea athari ya mafuriko iliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar Kuanguka katika Uwanja wa ndege wa jeshi uliopo jijini Dar Es Salaam.
↧