Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LIVE MAPISHI YA MKAREEZ WEMA SEPETU YAMCHANGANYA ZAIDI SUPER DIAMOND PLATNUMZ

$
0
0
Wema na Diamond
STAA wa Number One Remix, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema vipo vitu vingi anavyovipenda kwa mpenzi wake, Wema Sepetu lakini suala la mapishi ndilo linachukua nafasi kubwa.
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na sweet wake Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'.
“Wema nampenda kwa mengi ujue lakini pia anajua sana kupika mapochopocho ndiyo maana sipindui, mwanamke mapishi bwana,” alisema mwanamuziki Diamond.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>