Jeshi la Polisi Kikosi cha Uokoaji jana kililazimika kutumia nguvu kuwaokoa wakazi wawili wa Jangwani waliokuwa wamezingirwa na maji, lakini wakigoma kuokolewa |
↧
SASA HAWA MBULURAAZ WAGOMA KUOKOLEWA KWENYE MAFURIKO SIJUI NDO UMBULUUURAZ KUPITILIZA AU...
↧