Vipo vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapokuwa ndani ya hifadhi, tabianchi blog
Sasa watalii kadhaa waliona wanaweza kujiachia tu na kumchokoza simba kilichowakuta sidhani kama watarudia tena, kwa wale watu wa kanda ya ziwa ukisikia nenno kama 'kabili ng'wanza!' unaweza kuelewa.
Nisiseme sana shuhudia simba wa jangwani alivyowavamia watalii hawa huko Namibia.Chanzo Tabia Nchi Blog