MASKINI MDOGO WA KANUMBA ACHANGANYWA VIBAYA NA KAKA'AKE...SOMA ZAIDI HAPA.
Seth Bosco.MSANII wa filamu ambaye ni mdogo wa marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefunguka kuwa marehemu kaka yake huyo amemchanganya kimaisha kwani kila kukicha hajui atafanya nini kwa siku nzima....
View ArticlePICHA MZEE WA MIAKA 60 AUAWA KINYAMA KWA TUHUMA ZA USHIRIKINA
Daktari Luvanda kutoka hospitali ya wilaya ya Makete akionesha majeraha ya kichwa cha mwili wa marehemu yanayohisiwa kupelekea kifo chake.Mwili wa marehemu baada ya kuondolewa eneo la tukio. Polisi...
View ArticleHOT PICHAZ..AIBU+LAANA..KUTANA NA MKE WA MCHUNGAJI ANAYEVAA MAVAZI YA...
Meagan Good akiwa na Mumewe Huyu ni Meagan Good, kwa wanaopenda kucheki movie za kimarekani sina shaka wanamfahamu vyema mdada huyu anayesemekana ni mkali/mrembo kuliko wadada wote wenye asili ya...
View ArticleBINTI WA CHUO KIKUU DAR AMFANYA KITU MBAYA MZUNGU...HATARI SANA AISEEE
Raia mmoja wa nchini Finland amejikuta katika wakati mgumu sana baada ya kushindwa kufanya lolote kazini alipoajiriwa baada ya kutaka kuwa katika mahusiano na mwanadada huyu wa chuo kikuu cha Dar es...
View ArticleMADAKTARI WAKUZA 'UKE' KATIKA MAABARA
Ni mara ya kwanza kwa uke wa mwanamke kukuzwa katika maabaraMadaktari nchini Marekani wamefanikiwa kuwatengezea wanawake wanne sehemu ya uke kwa njia ya kisayansi.Walitumia mfano wa seli ya uke na...
View ArticlePICHA ZA MAMA ALIYEKATWA SIKIO NA DUDUBAYA HIZI HAPA
Siku mbili zilizopita stori mbalimbali kwenye mitandao zilihusu msanii wa longtime kwenye bongofleva aitwae Dudubaya kudaiwa kumkata sikia Mama yake mkubwa kwa kinachosemekana kuwa tuhuma za kichawi...
View ArticleKUFURU LA KUOLEWA KWA MTOTO WA RAIS APEWA ZAIDI MAGARI 60, WAGENI WOTE...
President Jonathan’s daughter Faith married her man Godswill yesterday in Abuja.Some reception photos…
View ArticleSIMBA KUVAMIA GARI LA WATALII MBUGANI MBONA KILIELEWEKA
Vipo vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapokuwa ndani ya hifadhi, tabianchi blogSasa watalii kadhaa waliona...
View ArticleZIARA YA KINANA WILAYA YA MLELE
Atembelea kata ya Kibaoni, asalimiana na wananchi na kukagua mradi wa maji, akutana na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda .Ajionea mradi wa ufugaji Nyuki katika shamba la Waziri Mkuu Katibu Mkuu...
View ArticleSHAMSA AWANANGA MASTAA WANAOJIONA
MUUZA sura wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amesema wasanii wengi wenye majina makubwa wamekuwa wakiringia umaarufu wao na kuwadharau wengine jambo ambalo halina manufaa zaidi ya kuwashushia...
View ArticleRAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWA MAREHEMU...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya leo April 15, 2014, siku...
View ArticleKUTANA NA MAPACHA WANAOCHANGIA KILA KITU MPAKA BOYFRIEND WAO NI MMOJA
Growing up, twins Victoria and Amanda Hepperle were raised to share everything - toys, clothes and their deepest secrets. “What’s mine is hers,” has been the guiding principle all their lives, to the...
View ArticleKUFURU:MAPOLISI DUBAI HUTUMIA LAMBORGINI NA FERRARI KUFANYA DORIA
Amini usiamini brand za magari zilizojaa katika garage ya polisi ya Dubai ni Lamborgini, McLaren MP4-12C, Aston Martin, Ferrari, Bentley na Chevrolet.Mwaka jana tuliwahi kuandika kuhusu chuo cha Dubai...
View ArticleGOOD BYE NGURUMO MWALIMU SUPER STAR SINGER WHO CREATED "Msondo Ngoma" +...
Mazishi ya Mzee Gurumo yamefanyika leo katika kijiji cha Masaki kilichopo wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani ambako mamia ya watu yalikusanyika kumsindikiza kwenye safari yake ya mwisho.
View ArticleNA HIZI NDIO KAULI 7 ZA MAKAMU WA RAIS WA ZANZIBAR KUHUSU MUUNGANO LIVE!!
Amekua mmiliki wa vichwa vya habari kutokana na ripoti mbalimbali ambazo zimekua zikimnukuu kwa kudai kutozitaka serikali mbili lakini leo April 15 2014 amezungumza kwenye maonyesho ya miaka 50 ya...
View ArticleRAIS JK ALIPOKUTANA NA WAZIRI WA NISHATI WA UINGEREZA JANA IKULU LIVE!!
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa...
View Article