$ 0 0 Mazishi ya Mzee Gurumo yamefanyika leo katika kijiji cha Masaki kilichopo wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani ambako mamia ya watu yalikusanyika kumsindikiza kwenye safari yake ya mwisho.