Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LE MAJANGAZ & BONGO: BAADA YA DIVA MTATA WA CLOUDS KUACHIA MTINDIZ WAKE KULE KWA WAJANJA MWAKA-INSTAGRAM SUPER STAR LULU NAYE AFUTIA NYAYO NA KUACHIA YAKE LIVE!!

$
0
0

Jana kupitia mtandao wa kijamii Diva wa Clouds fm aliachia picha iliyoonyesha kifua chake na kuzua maneno kwa mashabiki na kubaki wakijiuliza kwanii huwa wanafanya hivyo. kama hukuona alichopost Diva siku ya jana bofya HAPA. leo Lulu naye ameamua kujibu mapigo kwa kuachia picha inayofanana sana na ya Diva aliyopachia hapo jana.
Siku hizi imekuwa ni fasheni sana kwa wasanii kujiachia maungo yao wazi na kusahau kuwa wao ni kioo cha jamii.  Mdau una maoni gani kuhusu hii swala??

Credit: Swahilitz

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles