Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

SHILOLE BAADA YA KUCHUNA BUZI SASA ACHUNWA YEYE...HUYU NDIYE BWANA MDOGO ANAYEFAIDI UTAMU WA SHILOLE...ANGALIA PICHA

$
0
0

 Huyu Ndio Bwana Mdogo anyetoka Shilole anayefahamika Kama Nuh Mziwanda Chachalundoa

Akizungumza na U heard ya XXL, Clouds FM leo,Shilole na Nuhu wamesema wanapendana sana na wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa mda mrefu sasa.
“Tunajipanga mambo fulani yakae sawa pamoja na mke wangu kila kitu kitakaa sawa,” alisema Nuhu. 
“Kweli tunakama miezi miwili ,mitatu tunashukuru Mungu tunapendana kiukweli. Yeye ananipenda na mimi nampenda pia, mimi nipo real kwake na yeye yupo real kwangu kila mtu yupo real kwa mwezake. Nilikuwa na girlfriend kipindi hicho ila tumeachana, tumegombana siunajua, na nimekaa muda mrefu bila kuwa na girlfriend, yaani mambo yalifanya tukaonana tukapendana hivyo .First time nakumbuka tulikutana studio,alikuja studio Kijitonyama ambapo mimi nilikuwa nafanya kazi natengeneza beat zangu skeleton tukaongea mambo mengi ya kimaisha hatukuwa in deep sana kihivyo, ila tulivyoendelea kujuana tukaona kila mtu akamzoea mwenzie,mimi nikiwa mbali anakasirika na mimi nikiwa mbali nay yeye anakasirika. Kwahiyo end of the day tukawa tunapendana kweli yakawa mapenzi.”


 
Naye Shilole alidai kuwa ni kweli wanapenda na Nuhu.
 
“Sijamkana Nuhu,kwanini nimkane kwa sababu gani? Yeye ananipenda na mimi nampenda,” alisema Shilole huku akisema yupo tayari kwa kufunga ndoa na msanii huyo.
 
Hata ivyo Shilole Amekuwa akioongoza nae mchumba wake kwenye Show Mbali mbali anapokuwa anakuwa amakwenda kufanya show
Jumapili iliyopita Shilole alikuwa Maisha Club Dodoma akifanya Show pia alikuwa nae katika Show ile katika Show ile Kabala ya kupanda kwa Shishi byb alipanda Mchumba wake uyo kuimba na kufuatiwa na Darasa Kisha Shishi Mwenyewe na kupewa shavu na Recho Toka THT,Steve Nyerere wa Bongo Movie,Kalala Junior

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>