Picha hii hapa juu (kushoto) ni enzi zake za ushoga alipokuwa akiitwa Anti Asu na picha ya kulia nia pale alipo kuwa ameamua kuachana na ushoga na kuamua kutafuta mke na kumchumbia mbele ya kanisa.
Amos na mkewe siku walipo funga ndoa yao.
Kweli Mungu mkubwa na tunawatakia kila la kheri katika ndoa yao.