LADY JAY DEE NDANI YA KASHFA NZITO...MAJIRANI WAMCHANA LIVE..
MAJIRANI wanaoishi karibu na mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Jide’ wamelalamika kwamba mwanamuziki huyo ameiweka nyumba yake katika mazingira ya uchafu yanayohatarisha maisha yao....
View ArticleMBUNGE MTATA WA CHADEMA BAADA YA KUMTUSI BABA WA TAIFA SASA AMTUSI HATA...
Akiwa katika hali ya jazba na gadhabu, mhe. Tundu Lissu amejibu mapigo aliyopewa na mwasisi wa chama chake (CHADEMA) baada ya kauli zake chafu kwa baba wa taifa.Tundu Lissu ambae pia ni mwanasheria...
View ArticleBREAKIN NEWZZ:- MAANDAMANO MAKUBWA YA CWT NA JUKWAA LA WAALIMU TANZANIA...
CWT na Jukwaa la walimu kuitisha maandamano kumpinga Lisu juu Mwl.Nyerere. Tangu asubuhi leo hii hapa mjini Moshi kumekuwa na maandalizi ya maandamano makubwa yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni...
View ArticleLE MAJANGAZ & BONGO:- ONA SASA HUYU NAYE NA MAJANGAZ YA KUIBA KITMOTO KIZIMA...
KATIKA kuelekea sikuu za Krismasi na Mwaka mpya pilika pilika zimeongezeka katika mji wa Moshi na mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla huku vibaka pia wakiendelea na udokozi na wizi wa vitu mbalimbali....
View ArticleRAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA TANZANIA DR. JK AWACHIMBA MKWARA MZITO WAAASI WA...
Pichani ni Luteni Jenerali Carlos Alberto dos Santos Cruz, Kamanda wa Vikosi vya Umoja wa Mataifa nchini DRC (MONUSCO).Rais wa Tanzania ametoa onyo jipya tena kwa waasi wa Congo kuweka silaha zao chini...
View ArticleBIG BASH AT RIO GYM KESHO FROM 6.00PM TIL LATE & FREE ENTRY AT THE 5TH FLOOR...
Moddy Bawazir View on Instagram"Rio gym Poolside 2mor,from 6pm -late.Free Entry n Baikoko from Tanga will be there..KARIBUNI WOTE @ Golden Jubilee tower 5floor"
View ArticleHATIMAYE YULE MWANAUME ALIYEKUWA ALIYEACHA USHOGA AFUNGA NDOA NA MBEBEZ WA...
Picha hii hapa juu (kushoto) ni enzi zake za ushoga alipokuwa akiitwa Anti Asu na picha ya kulia nia pale alipo kuwa ameamua kuachana na ushoga na kuamua kutafuta mke na kumchumbia mbele ya kanisa.Amos...
View ArticleBREAKING NEWZZZZ!!!!N/WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AFUTA MALIPO,AZUIA BENKI...
Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Lameck NchembaIkiwa ni Siku ya pili tangu Wajumbe wa Bunge la Katiba Kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Cuf na NCCR Mageuzi wanaounda kitu kinachoitwa UKAWA...
View ArticleMaunda Zollo Aingia Kwenye Skendo Mpya Baada ya Hizi Picha zake Kuvuja Akiwa...
Ni mara nyingine tena star mwingine tokea bongo picha zake chafu zimevuja katika mtandao mara hii ni kutoka kwenye Industry ya musc bongoY
View ArticleBREAKIN NEWZZ:- RADIO ONE INARIPOTI KUZAMA SASA HIVI KWA MELI YA MIZIGO...
#Breaking NEWS Meli ya mzigo ya kampuni ya FB Matara kutoka Bukoba-Mwanza imezama na Wafanyakazi 10 ziwa Victoria katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile. - Radio One
View Article