Wema Sepetu ameshinda shindano la Ijumaa sexiest girl ambalo liliandaliwa na Global Publisher na kushirikisha watu maarufu kama Lulu,Jokate,Nelly Kamwelu na Jackline Wolper.
Mwisho wa shindano Wema Sepetu ameibuka mshindi na tukio hilo liliambatana na show kutoka kwa Weusi na Mkubwa na wanae.
U